The Songs
@thesongs264
Odběratelé
zhlédnutí
Videa
API
7K
Živé počítadlo odběratelů YouTube
Loading Advanced Analytics...
The Songs
Tumsifu Yesu Kristu!
Wapendwa katika Bwana, ninawaletea Channel hii ikiwa rasmi kabisa kwa ajili ya Nyimbo za kwaya za Kanisa Katoliki ili kulisambaza Jina la Bwana pote nchini kama Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji ilivyoweka wakfu. Kuimba ni sawa na Kusali mara mbili. Na si kuimba tu bali kuimba nyimbo za Injili zenye kulisifu na kulihimidi Jina la Bwana. Kwa namna moja ama nyingine nipende kuwakaribisha wote katika Kumsifu na kumtukuza Bwana tukitafuta mabadiliko ya nafsi kumuendea yeye!
Embed
Sledujte odběratele YouTube, zhlédnutí, porovnání tvůrců a milníky v reálném čase.
Videa
Christmas Mix - Nyimbo za Christmas 2019 RC Kwaya
Uploaded
143,374
zhlédnutí
366
Likes
0
Comments
About RealtimeSubCount.com
Sledujte odběratele YouTube, zhlédnutí, porovnání tvůrců a milníky v reálném čase.